WE ARE VERY SORRY FOR ANY INCOVENIENCE AROUND THERE,OUR BLOG IS UNDER CONSTRUCTION AND IT WILL SPEND SOME HOURS TO COVER ON AS WE ARE UPGRADING FROM THE DATABASE.ADMINI.
WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
BBA- THE CHASE: DILISH AIBUKA KINARA WA MASHINDANO YA BBA THE CHASE
JANA ,PAZIA NA JUMBA ZIMA LA BIG
BROTHER THE CHASE 2013, LIMEFUNGWA RASMI BAADA YA HOT BABE DILISH HERSELF REPRESENTING NAMIBIA KUNYAKUA
USHINDI NA KUSEPA NA MKWANJA WA DOLARI ZA KIMAREKANI 300 000.
Katika historia ambayo ilielekea kufichika kunako BBA tangia
ianze, Dilishi amezungumzia hisia zake kwa kuibuka Binti wa pekee kuchukua
Ushindi huo katika tangia CHERSE wa Zambia alivyoandika Historia Misimu saba
iliyopita
Dilish liongeza kuwa, Ushindi wake ni maalum kwa jili ya
wanawake wote Barani afrika sambamba na Nchi yake ya Namibia.
Aidha Kitu ambacho kilimpa Ushindi kwa namna Kubwa Hot Chick
huyu, ni Kujikita zaidi kunako Mchezo wake na hata Game zima kiujumla, ikiwemo
kutojihusisha na Ugomvi wa mara kwa mara zaidi ya Ule ambao ulimuhusisha yeye
na Melvin
Jumla ya Kura zilizamuru Ushindi ni Kama
Ifuatavyo
: Dillish = 5, Cleo = 4, Elikem = 3, Melvin = 2, Beverly = 1.
MTIZAMEDILISH KATIKA POZI MBALI MBALI
LIL KIM ASAHAULIKA KWA MASHABIKI ZAKE
Wengi sana wamekuwa wakishindwa
kutambua Uwepo wa Lil Kim hasa Kunako Game la HIP HOP Nchini marekani. Lakini
hii Pia, imewaacha Baadhi ya watu wanaomfahamu Kinywa wazi.
Kunako Tuzo za MTV VIDEO MUSIC AWARDS 2013 zilizofanyika
Jana Nchini marekani, The Brooklyn Queen alishindwa kutambuliwa na Nyomi
Lililokuwa limehudhudhuria kunako tuzo hizo, kutokana na muonekano wake Mpya
tofauti na Ilivyokuwa kipindi cha Nyuma.
Aidha katika hali ya kushangaza, Lili kim alionekana kukonda
ama kupungua mwili, na hata Kubadilika kwa kiasi Fulani, jambo ambalo liliwapa
Wakati wa Ziada mashabiki wake kumtambua Mamy Huyo
Tofauti na kukonda, lil kim alikuja amevaa vazi ambalo kila
mtu hakuamini kama Ni Kim wa kipindi cha miaka ya 1990. Rap Babe huyo alikuwa
amevaa Vazi ambalo liliacha Titi lake la kulia likiwa Nje, hali ambayo kila Mtu
alishindwa kuielewa kwa Mkali huyu wa Lighters Up.
Kim amekuwa Kimya kwa kipindi kirefu sasa tangia alalamike
kuwa Nick Minaji ameingilia Anga zake hasa kwa kuiga Swaggz kadhaa kutoka kwake
Especialy Uvaaji wa Weaving ama WIGI.
Kwa Upande wake Kim Mwenyewe wakati akiwakilisha tuzo ya
BEST HIP HOP AWARD katika Tuzo hizo, alisema amefarijika sana kuona Tuzo hizo
zimefanyika katika Maskani yake, yaani BROOKLYN
ORODHA WASHINDI WA MTV VIDEO MUSIC AWARDS 2013- BROOKLYN
BEST VIDEO WITH A SOCIAL MESSAGE
Macklemore
& Ryan Lewis, “Same Love”
SONG OF THE SUMMER
One
Direction, “Best Song Ever”
BEST FEMALE VIDEO
“I Knew
You Were Trouble”
BEST HIP-HOP VIDEO
Macklemore
& Ryan Lewis, “Can’t Hold Us”
BEST COLLABORATION
P!nk
featuring Nate Ruess, “Just Give Me A Reason”
ARTIST TO WATCH
Austin
Mahone
BEST ROCK VIDEO
30
Seconds to Mars, “Up in the Air”
BEST POP VIDEO
Selena
Gomez, “Come and Get It”
BEST CINEMATOGRAPHY
Macklemore
& Ryan Lewis feat. Ray Dalton, “Can’t Hold Us”
BEST ART DIRECTION
Janelle
Monae feat. Erykah Badu, “Q.U.E.E.N”
BEST DIRECTION
Justin
Timberlake, “Suit and Tie”
BEST CHOREOGRAPHY
Bruno
Mars, “Treasure”
BEST VISUAL EFFECTS
Capital
Cities, “Safe and Sound”
BEST EDITING
Justin
Timberlake, “Mirrors”
VIDEO OF THE YEAR
Justin
Timberlake, “Mirrors”
PICHA: LEO KATIKA WEEKEND BATTLE NDANI YA JAM SESSION YA 99.4 METRO FM
KULIA: K-Star aki-Bust Freestyle yake dhidi ya Mkali mwenzake Scale, katika WEEKEND BATTLE ya Jam Session kupitia 99.4 Metro Fm Mwanza. Yeye ndiye ameibuka Mshindi kwa Siku ya Leo. Kulia ni MENEJA Wake BABS- Mauchafu
KUSHOTO: Scale akirejesha Majibu kwa Mkali mwenzake K-Star. Kati kati ni Hasta La Vista- Frank M. Joachim
Haya Meza Moja Sasa..Jamaa kama hapatoshi Hivi
CHRIS BROWN; UBAGUZI WA RANGI UMETUMIKA
BAADA ya Hakimu kumkabidhi adhabu ya Kufanya Shughuli za Kijamii kwa Muda wa Masaa 1000, Mkali wa R&B na POP Nchini Marekani amedai kuwa aliyemchomea kwa Hakimu, ni Mbaguzi wa Rangi.
Kwa Mujibu wa Taarifa za Awali, BREEZY alikutana na Nyundo hiyo, baada ya kudaiwa kuidanganya Mahakama kuwa alifanya Adhabu ya Shughuli za Kijamii, ilihali hakufanya hivyo na alitoa taarifa Feki.
Baada ya kubaini hilo, jaji alitoa Hukumu Hiyo, ambayo ni kufidia Adhabu ambazo hakufanya, katika Kesi ya kumpa Kipigo aliyekuwa Mpezi wake RIHANNA.
Hata Hivyo Breezy hakuridhika na hilo, na badala yake kuingia kunako SITE la Tweeter na kusema haya
NICKI MINAJI AFUNGUKA KUHUSU OMBI LA DJ KHALEED
ZIMA NIKUPE MTONYO;
HATIMAYE Badaa ya kusubiriwa kwa Muda Mrefu sana kuhusiana na Ombi la Ndoa kutoka kwa Dj Khaleed, NICKI MINAJ amefunguka rasmi..Heheheiyaaaa...Kudaaaadeki !
Baada ya DJ KHALEED kuelezea Hisia zake juu ya Mtoto Mrembo Minaji kupitia Kituo cha MTV, kila mtu amekuwa yuko kimya sana kusikia ni kipi ambacho atakijibu Sweetie huyu, kama ni NDIYO, ama Kibuti
KAULI YA NICKI MINAJ
Lakini licha ya Nicki Minaji kutokuichukulia ishu hiyo Serious kihivyo, bado aliwaacha Mashabiki wa KHALEED na Yeye Mwenyewe Kinywa Wazi baada ya Kusema haya:
"Nilishtuka sana kama ambavyo Ulimwengu Mzima ulishtuka. Nilicheka pia kama ambavyo ulimwengu Mzima ulifanya hivyo, kwa sbabu Khaleed ni Mtu anayesimamia kila anachokifanya."
Bora hata ya Kauli hiyo, lakini ya kushangaza zaidi ni Hii aliyoisema mwanamama NICKY
" Ilikuwa ni Njia nyingine ya kipekee, kwa yeye kutoa sehemu ya Ujumbe ama maneno ambayo yatapatikana katika Wimbo wake Mpya"
TRACK HIYO PAMOJA NA ALBAM MPYA:
Hilo lilikuwa ni neno la kuitengenezea Njia Track yake pamoja na Albamu yake Mpya. Ngoma yake hiyo inaitwa "I WANNA BE WITH YOU" ambayo amemshirikisha Nicki Minaj, Future na Rick Ross. Albam yake itatambulika kwa Jina la SUFERRING FROM SUCCES
NICKI ALICHUKULIAJE TAMKO LA DJ KHALEED.
"Khaleed Ni Kaka angu, na hakuwa Serious wakati anatamka ombi hilo la Ndoa kwangu. Ifahamike hivyo Tafadhali. Alikwa anatania. Khaleed hajavutiwa na Mimi na wala hanihitaji Kimapenzi. Ni Mtu na Dada Yake" Alisema Nicki
LHRC - "TUTAMBURUZA PINDA MAHAKAMANI"
Kituo cha Sheria na
Haki za Binadamu (LHRC), wiki hii kinatarajia kumburuza mahakamani, Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, kumtaka afute kauli yake aliyoitoa bungeni mwezi uliopita
kwamba Polisi wawapige raia wanaoleta uchokozi na kuashiria uvunjifu wa amani
hapa nchini.
Mwezi uliopita Pinda katika mkutano wa Bunge la bajeti mjini
Dodoma alitoa kauli ya kulitaka jeshi la Polisi
nchini kuwapiga raia wanaokaidi amri halali ya jeshi hilo wakati aikijibu maswali ya Papo kwa papo
kwa Waziri Mkuu.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana jijini
Dar es Salaam ,
Mkurugenzi wa Maboresho na Utetezi wa LHRC, Harold Sungusia, alisema taratibu
zote za kisheria za kumfikisha Pinda mahakamani zimekamilika na siku yoyote
wiki hii watafungua kesi.
Sungusia alisema kauli ya Pinda, imevunja katiba ibara ya 13
na kwamba lazima sheria ichukue mkondo wake kwa mkumfikisha mbele ya mahakama.
Alifafanua kuwa ibara ya 100 inayompa kinga mbunge anapotoa
jambo lolote bungeni inamweka kando Pinda, kwa kuwa yeye hakuzungumza bungeni kama mbunge bali alikuwa anatoa msimamo wa serikali yake.
Alisema kauli ya
Pinda ilikuwa kali na mbaya na kwamba, walimtaka Pinda aifute siku chache baada
ya kuitoa, lakini mpaka sasa amekaidi na hivyo wameamua kuchukua hatua ya
kumfikisha mahakamani ili haki iweze kutendeka.
Pinda alitoa kauli hiyo nzito alipokuwa akijibu swali la
mbunge wa Kilwa Kaskazini (CCM), Murtaza Mangungu aliyetaka kujua kauli ya
serikali juu ya vyombo vya dola kudaiwa kuwapiga raia hususani katika mikoa ya
Mtwara na Arusha.
Akijibu swali hilo
Pinda alisema “Mheshimiwa Mangungu hapa ameanza vizuri, lakini mwisho hapa
naona anasema vyombo vya dola vinapiga watu, ukifanya fujo au umeambiwa
usifanye hiki ukaamua kukaidi utapigwa tu.”
Akaendelea kusema
kuwa, “Lazima wote tukubaliane kuwa nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya sheria
na kama wewe umekaidi, unaona kwamba ni imara
zaidi, wewe ndio jeuri zaidi, watakupiga tu,"
“Na mimi nasema wanaokaidi amri halali ya Jeshi la Polisi
muwapige tu, kwa sababu hakuna namna nyingine ya kupambana na wakaidi zaidi ya
kuwapiga,” alisema Pinda.
T.A.T NIPASHE
Subscribe to:
Posts (Atom)

















