REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Its Mo Plus Again Mazee..!

10:28:00 AM Add Comment
Niropokeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?...Yeah..Thats Watsup
Baba wa ukoo aka MoplUs anadrop another brand new joint la  "Hizi flow" ikiwa ni kazi nyingine heavy from noizmekah.com,the revolution goes on and on till the break of dawn.tukifika hapa tunaswitch hizi flow,Dunya akinidere anakinidere anaezani niko sober bro,call me a big boss,kunidondosha sio easy sio possible,napotimba wanapoa ka viporo" ni baadhi ya punchlines ndani ya joint hili alokalisha mtu mzima plus wa ukoo,take a listen and bump this revolutionary joint till yo speakers fall out!A city all day

CAMP MULLA.....Mule Mule BET!!!!!!

2:46:00 AM Add Comment
Obviously Yes!!!!
Yale Majembe sasa...Vile Vichwa Vitano Sasa....Wale Sasa...Maarufu kwa Jina La Camp mulla from Obama's Ex Land officially Kenya, Wamefanikiwa kutwaa Tuzo ya BET ambayo walikuwa wakiipigania na Baadhi ya Wajomba kutoka huku huku Black Continent....
But ana aamzing thing ni kwamba wamepokea Tuzo hiyo ya Heshima wakiwa Home baada ya Kukosa Visa aisee...
CONGZZZZZZZ

FA...Afanyiwa Falsafa Za Kitaa...

2:37:00 AM Add Comment
NIROPOKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE?....Yeah...Hope utakuwa Umesema Mule mule.
Mnyamwezi, Jombaa na Bonge moja La Mc kuanzia enzi zieleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee   za East Coast Team, Hamiss Mwinjuma goes by an A.K.A ya "Mwanafalsafa, Juzi kati Wanafalsafa wa Kitaa...nakuwa nazungumzia VI-BA-KA!!...bin WEZI, wamemsafisha haswaaa baadhi ya Vifaa kwenye "AAAANJIIIIIIMMM" yake yaani Gari lake.
Its Not Funny Mazee...Tupieni Jicho muone Weeenyeweee....Hii Ndo Bongo Mazee..Usije Mjini jombaa....

PIPI AKIUZISHA KIBENDI CHAKE!!!!!

2:26:00 AM Add Comment
NIROPOKEEEEEEEEEEEEEEEE?....Yeah hope utakuwa Umesema "Ropokaa"
The Short Female Atist wa Bongo mwenye utundu kiuhalisia, PIPI, ameamua kuuza "Laivu Bila Chenga" Kibendi chake Bin Ujauzito kupitia Video yake Mpya ambayo openly siikumbuki Jina (Huwa inatokea kusahau)...Licha ya Mimi kusikia "Lumaz" kama Si umbea kutoka kona mbali mbali kuwa Pipi ni Mjamzito, Nilipata hance ya Kuona Video hiyo ambayo Pipi mwenyewe bila kulazimishwa au kuficha kudaaaadeki..alionesha Tumbo hilo lililokuwa linang'aa "az If" kalipaka Mafuta ya Nazi ili lipendeze...
Any way....Hongera Pipi...Tunamsubili Anko Tu...Bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi

Mwaka Jana...

2:00:00 AM Add Comment
"Nipo hapa Swaga Zangu Ziko Full Broo...Yes Bizzness..and I run The Show..The Like..wha..what More..baada ya Kesho kutwa..Ni Mtondogoo..."
Kudaadeki...Ni moja kati ya Zile za kuitwa "Bridge" kwa Song ya Mwaka jana ya Mtu mzima Bizzness.
Obviously now days Naenjoy saaaana Track Za Izzo Bizzness coz Zinaumiza sana Kichwa na Ku-woof Spika za redio zetu kama Sio Earphones kwa wale Addicted to Mp3s na Mauchafu Hivi.
Mkwaju umepikwa kwa yule yule Mkali wa wakali, Maneck ndani ya AM Records. Kuanzia Beat yake, Mixdown yote na Mishe zote za Audio, Haaa..Video yake ndo ilivunja Pabovu. 
Track inakwenda Kwa jina la "MWAKA JANA" akiwa Amemshirikisha Jamaa wa Kuitwa "Shapsin"
Ukiisikiliza na Kuitazama, utakubaliana na mimi kuwa Mshikaji anaipeleka Mbeya City On Top..
                                             Izzo Bizness Katika Moja ya Video ya "Mwaka jana"
9:23:00 AM Add Comment

HATUA MEDIA COMPANY LTD.

Ujio Mpya wa Vijana wenye Mzuka katika Market la Media Hapa Bongo, ikiwa na Hamu ya kutoa kile ambacho Wengi tumekuwa tunakikosa katika Habari na Burudani.
Mzuka Mwingi utakujia pasipo na Magumashi yoyote, ikiwa i chini ya Michakato Heavy kutoka kwa Young Generation in media Industry, iliyofanyiwa "Unpredictable Cook Out" katika "Chami Land", Royal College Of Tanzania "RCT"
Ladies And Gentlemen Bin Mabibi na Mabwana !!!!!!!!!!, Expect the Unexpectable Expectations

MNADA BANNER